Rais Mstaafu awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mhe. Benjamim William Mkapa(kushoto),Jaji Mkuu Othman Chande(wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik(watatu kushoto) pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue jana jioni wakati wa futari iliyoandaliwa nyumbani kwa Balozi Sefue jijini Dar es Salaam kwaajili ya viongozi mbalimbali serikalini.(picha na Freddy Maro).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Duh raisi mstaafu Mkapa umeniacha hoi!

    ReplyDelete
  2. Balozi Sefeu safi sana naona umewakumbuka waliokufikisha hapo. Mzee Mwinyi hongera kwa kuibua kipaji hiki.

    ReplyDelete
  3. kha! mchina kapatia dini Kariakoo

    ReplyDelete
  4. Ben katisha!

    ReplyDelete
  5. Kila kheri Rais Mstaafu Mwinyi na Rais mstaafu Mkapa. Tanzania ina songa mbele.

    ReplyDelete
  6. Mhe. Ben mashaallah! Umetoka kweli kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...