Rais Mstaafu awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi akisisitiza jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo na viongozi mbali mbali akiwemo Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mhe. Benjamim William Mkapa(kushoto),Jaji Mkuu Othman Chande(wapili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sadik Meck Sadik(watatu kushoto) pamoja na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue jana jioni wakati wa futari iliyoandaliwa nyumbani kwa Balozi Sefue jijini Dar es Salaam kwaajili ya viongozi mbalimbali serikalini.(picha na Freddy Maro).
Home
Unlabelled
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi ombeni Sefue afuturu na Viongozi waandimizi serikalini pamoja na marais Wastaafu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Duh raisi mstaafu Mkapa umeniacha hoi!
ReplyDeleteBalozi Sefeu safi sana naona umewakumbuka waliokufikisha hapo. Mzee Mwinyi hongera kwa kuibua kipaji hiki.
ReplyDeletekha! mchina kapatia dini Kariakoo
ReplyDeleteBen katisha!
ReplyDeleteKila kheri Rais Mstaafu Mwinyi na Rais mstaafu Mkapa. Tanzania ina songa mbele.
ReplyDeleteMhe. Ben mashaallah! Umetoka kweli kweli.
ReplyDelete