Hiki ndicho kikosi kamili cha timu ya Pan African enzi hizo. Mwenye data msaada tutani. Mie naanzia kwa waliosimama kulia ni kocha Athumani Kilambo na mbele kulia Kitwana Manara Popat...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ngoma za kiutu uzima hizo,hakuna mtoto kama ngasa au kaseja, zamani niwatu wazima ndio walikua wapiga soka. safi saana.

    ReplyDelete
  2. wakuwa wameshiba hao, kabla ya chipis mayai hazijatinga mijini

    wee acha tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...