Hiki kibanda cha kupumzikia abiria wanaosubiri usafiri katika kituo cha Daladala cha Kinondoni Kanisani,ambacho kilipiga mueleka siku nyingi zilizopita na wahusika wamekichunia kana kwamba hawakioni vile.sasa kutoka na kuanguka kwake na kufunika sehemu ya kukaa,abiria hao wameamua kukaa juu ya kibanda hicho huku wengine wakiendelea kusoma matangazo yaliyobandikwa kwenye paa la kibanda hicho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Zebadayo upo hapo?..mm siludi hapo hata kwa fimbo..vitu vidogo kama hivyo very simple lakini vinawashinda...mm mwezenu nipo uk natwanga na kupeta...sasa swali kwenu wadau wote wapenda maendeleo ya nchi yenu.. 1,hivi hilo jiji la dar lina lina wabunge?..2, pana mkuu wa mkoa?..3, pana wakuu wa wiraya?..na kama jibu ni wapo basi wapo wapo tu kula nguvu zenu..mm nilistuka mapema ya kwamba hapo sipo kabisa ndio maana nimesepa mapema..hapo dar hivyo je kule kwetu mji kasoro bahari ukipenda ita moro au mg itakuaje?..angalizo kwa wadau wote wa michuzi...mm sikusoma ila naona mbali sana..ndio maana najiita...tajiri wa mawazo endelevu...mpo hapo?...amani kwa wadau wote..bye 4now.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...