| Mheshimiwa Mbunge wa Same Mashariki, Mama Anne Kilango akikagua sehemu ya uzalishaji wa unga wa tangawizi kiwandani hapo |
Mheshimiwa Mbunge wa Same Mashariki, Mama Anne Kilango, akiwa na baadhi ya wafanyakazi na viongozi wa kiwanda hicho.
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
| Mheshimiwa Mbunge wa Same Mashariki, Mama Anne Kilango akikagua sehemu ya uzalishaji wa unga wa tangawizi kiwandani hapo |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera kwa mama Kilango, huu ndio uwajibikaji tunaoutaka
ReplyDeleteHaya ndiyo maneno. Mkulima atapata soko na vijana watapata ajira.
ReplyDeleteHongera kwa mama Kilango na jimbo lake lote!
Wapare wameshamchoka huyu. Uchaguzi ujao akagombee Mtera kwa mumewe.
ReplyDeleteSeeing is believing nadhani wiki chache zilizopita walisema kuwa hakuna kiwanda sasa ameamua kwenda na kuweka ushahidi kuwa kiwanda kipo. Ila ni kweli wapare wa huko wamemchoka tayari
ReplyDeleteAnon wa Wed Aug 22, 07:19:00 AM 2012 acha chuki binafsi. Ongelea nafsi yako na sio kwa Wapare wote.
ReplyDelete