Uncle Michuzi, ilikuwa sekunde, ikawa dakika, ikawa saa, ikawa siku,
 ikawa wiki na leo tarehe 18/08/2012 ni Mwezi tangu mpendwa wetu
Daniel Richard Kilimbe atwaliwe na Bwana.
 
Bwana alitoa na sasa ametwaa, 
jina lake libarikiwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. so soon mtoto mzuri!!!Mungu amuweke mahali pema peponi!!!Mungu awape nguvu wazazi wake!!

    ReplyDelete
  2. Mola ailaze roho yake mahali pema peponi
    Israel

    ReplyDelete
  3. Daniel, you look smart. We love you, we will meet you there.Rest in peace. Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  4. Ndugu zangu, naomba nitoa mawazo juu ya KUFA. Kifo ni wajibu wetu sisi sote ,viumbe wenye damu na viumbe wasio na damu.Sasa kama tunajua kwamba KUFA ni haki yetu na hatuwezi kuibadili kwa namna yeyote ile , naomba kwamba , tukubali na tuyapokee matokeo kwa amani kabisa, badala ya majonzi na kupeana salam za rambirambi na msemo usemao( pole kwa kipindi hiki kigumu) naomba tubadili huu msemo. Kama kweli tunaimani kwamba Mungu ndiye afanyaye yote haya ??? na huyo aliyekufa ,amechukuliwa na Mungu ?? sasa je ?? hizi pole za wakati huu mgumu zinatolewa za nini ??? let us NOT contradict ourself ,Please. kisha tunasema ,bwana aliumba na Bwana ametoa. Do we really mean what we say ??? Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  5. Poleni sana! Mungu azidi kuwatia nguvu ndugu, wazazi na marafiki, na hata sisi muliotushirikisha. Na aiweke roho ya Daniel Peponi.

    ReplyDelete
  6. Sahihisho tu kidogo kwa aliyetuletea huu msiba wa Daniel. sina uhakika sana kama ni sahii kusema ( jina lake libarikiwe) kama unaimanisha (Mungu .. Bwana). Sisi wanaadamu hatuwezi kumbariki Mungu, sisi ni wa kumtukuza Mungu. so labda angesema ( jina lake litukuzwe) naomba maoni . Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  7. boring zeebe zebedayo. rip dani..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...