Asalaam Alaykum Warahmatu llahi Wabarakatu
Ama Baada ya Salamu naomba Toa Shukran zangu za Dhati kwako Kaka Issa Muhidin Michuzi na Timu Nzima ya Blog hii ya Jamii Japo Nimechelewa kuwatakia Kheri ya Mfungo wa Mwezi wa Ramadhani Wadau wote pamoja na Timu yako Naomba Pokea Salamu zangu na Tunamuomba M/Mungu azipokee Funga Zetu na Dua zetu kwa Ujumla.
Naomba Nita barouk kidogo ( Tupate barka ) kwa Pamoja kwa kukumbushana Siku hii Muhimu katika Siku ambazo Ndio zimeufanya Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhani kuwa Mwezi Mtukufu nayo Ni Siku ya LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO).
LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO) NI USIKU AMBAO UNAPATIKANA NDANI YA MWEZI HUU MTUKUFU WA RAMADHANI NDANI YA KUMI LA MWISHO MTUME (S.A.W) LILIPOKUWA LIKIINGIA KUMI LA MWISHO ALIKUWA AKIZIDISHA IBADA KWA SANA NA KUWA AMSHA WATU WAKE ( ALHAL BAYTI ) KWA AJILI YA KUFANYA IBADA ZAIDI KATIKA KUMI HILO.
LAYLATU QADIR SI MWEZI 27 TU ILA WENGI WA WANACHUONI WAMEJITAHIDI KUWA HIYO NDIO SIKU YA LAYLATUL QADIR
SIKU HII INAPATIKANA NDANI YA MWEZI 21 , 23 , 25 , 27 , 29 , NI JUU YETU NDUGU ZANGU KUITAFUTA SIKU HII KWA KUFANYA
IBADA KWA WINGI NDANI YA KUMI LA MWISHO ILI M/MUNGU ATUWEZESHE KUIDIRIKI SIKU AMBAYO UBORA WAKE NI ZAIDI YA MIAKA 1000 NA HUSHUKA MALAIKA NDANI YA SIKU HIYO KWA IDHINI YA M/MUNGU SUBHANAHU WATAALAAH.
UTUFUKU WA SIKU HII NI UNAPATIKANA KWA MAMBO MAKUU MAWILI KUTEREMKA KWA QUR AN ( MUNGOZO WA MUISLAM)
KUSHUKA KWA MALAIKA KWA IDHINI YA MOLA MTUKUFU.
NA IBADA YA SIKU HII UBORA WAKE NI ZAIDI YA MIEZI 1000.
NI JUU YETU KUHAMASISHANA NAKUKUMBUSHANA KUWA SIKU HII SI SIKU MOJA NA MUHIMU SANA ILI KUPATA KUMUOMBA MUNGU NA KULIOMBEA TAIFA LETU NCHI YETU YA TANZANIA MUNGU KULIPA BARKA.
SIKU HII MUNGU AKIKUBARIKI KUIDIRIKI DUA YA KUOMBA NI HII KWA MAELEKEZO YA MAMA AISHA
alimuliza Mtume Jee? tukiidiriki LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO) tufanye nini ? Mtume akajibu kithrisha kusema NASH-HADU ANLAA ILAAHA ILLA ALLAHU NASTAGHFIRULLAH NAS'ALUKAL JANNATA ILAAHI WANAUDHUBIKA MINA NNAAR ALLAHUMA INNAKA AFUWUN TUHIBUL AFWAA FA'AFUANNAA YAA KARIYMAL AFWU ". Kama alivyosema Mtume
MUNGU NDIYE MJUZI WA HII SIKU LAKINI INAPATIKANA NDANI YA KUMI LA MWISHO LA RAMADHANI.
Nakushukuru sana Kaka Issa wewe na Timu yako Mungu awabariki kwa ku - Post Ukumbusho huu Nawatakia kazi Njema.
Kwa Kumbusho zaidi utanipata katika Facebook kwa Id Name : Kijana wa Kiislam Dsm
au Twitter : Kijana wa Kiislam
Ghalib N Monero.
Al- Azhar University
Cairo Misri



ASALAM ALAYKUM NAKUSHUKURU SANA KAKA YANGU NA TIMU YAKO NA WANA BLOG YA JAMII KWA UJUMLA NAOMBA NISAHIHISHE KIDOGO HAPO KATIKA UBORA WA USIKU WA CHEO UKI UKIDIRIKI KIIBADA NIMESEMA UBORA WAKE NI MIAKA 1000 ELFU MOJA SAHIHI NI MIEZI 1000 NA SI MIAKA NASHUKURU KWA SANA KAKA KWA KU - POST UKUMBUSHO HUU NA SAMAHANINI KWA USUMBUFU NAWATAKIA FUNGA NJEMA YENYE BARAKA NA M/MUNGU ATUBARIKI NA ATUJAALIE TUUIDIRIKI SIKU HII YA LAYLATUL QADIR . WAKO NDG YENU GHALIB N MONERO , AL - AZHAR ,CAIRO ,MISRI.
ReplyDeleteMAMA AISHA alimuliza Mtume Jee? tukiidiriki LAYLATUL QADIR (USIKU WA CHEO) tufanye nini ? Mtume akajibu kithrisha kusema NASH-HADU ANLAA ILAAHA ILLA ALLAHU NASTAGHFIRULLAH NAS'ALUKAL JANNATA ILAAHI WANAUDHUBIKA MINA NNAAR ALLAHUMA INNAKA AFUWUN TUHIBUL AFWAA FA'AFUANNAA YAA KARIYMAL AFWU " Maana yake " TUNASHU HUDILIA KUWA HAPANA MOLA ISIPOKUWA WEWE ALLAH , TUNAKUOMBA MSAMAHA ,TUNAKUOMBA PEPO EWE MOLA WETU NA TUNAJILINDA KWAKO KUTOKANA NA MOTO .
ReplyDeleteEWE M/MUNGU KWAKO WEWE NDIO KUNA MSAMAHA / MSAMAHA NI WAKO UNAPENDA KUSAMEHE TUSAMEHE WAJA WAKO EWE MWENYE SIFA YA UKARIMU ". Kama alivyosema Mtume Amiin.
Muumba akulipe kwa kutukumbusha,cha msingi tuombe tu siku zote kumi za mwisho ili tuwe na yamkini kubwa ya kukutana nayo.
ReplyDeleteJAZZAKALLAHU KHAIRAN KWA KUTUKUMBUSHA KAKA GHALIB!NI VIZURI SANA KUKUMBUSHANA HATA KAMA MTU UNAKUMBUKA LAKINI UNACHOKISIKIA TENA HATA KAMA UNAKIJUWA,IMANI HUWA INAPANDA ZAIDI.KWA MFANO NILIPOSOMA HII TENA NIMEINGIWA NA IMANI ZAIDI,,NA NAOMBA MWENYEZI MUNGU ANIJA'ALIE MIMI NA NDUGU ZANGU NA WAISLAM WOTE TUWEZE KUIPATA HIYO SIKU YA LAYLATUL QADRI
ReplyDeleteKINGINE NAOMBA KUULIZA KAKA 'KIJANA WA KIISLAM DSM' NI NINI MAANA YAKE NIJUWAVYO DSM NI DAR ES SALAAM,,,,NA HAPO JICHI CAIRO EGYPT,,,SIJAELEWA
AHLAM,,LONDON
Shukuran Ghalib.
ReplyDeletenilivyomuelewa mimi, hiyo kijana wa kiislam dsm ni facebook ID yake. Lakini yeye yuko egypt. Kutokana na kuandika mwisho, wa habari yake. Natumaini nimesaidia kwa hilo. Shukran.ramadhan njema. Mdau usa.
ReplyDeleteShukran na JAzakALLAhu Khairan ALLAh SWT ajaalie tuweze kukubali Duaa zetu katiku usiku huo wa Cheo Allahumma Amin
ReplyDelete