Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa sita kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu za Sikukuu ya Eid kwa waumini wa dini ya Kiislam, baada ya kushiriki katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa tatu kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka katika viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, leo asubuhi.Picha na Muhidin Sufiani - OMR.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. NAULIZAA HIVI HII IDD NI YA WANAUME TUUUU??? KWA NINI HATUONI PICHA ZA WANAWAKE HUMU? KWANI WAO WAHAWAJAENDA MSIKITINI? ACHENI UPENDELEO NYINYI WATU, HAKI SAWA KWA WOTE, BAADA YA KUPIKIWA FUTARI MWEZI MZIMA LEO SIKUKUU NDO IMEKUWA TABU MNAUZA SURA PEKE YENU?!

    ReplyDelete
  2. tatizo wewe mdau wa kwanza una matamanio ya wanawake ndio mana watu wanajuwa ubovu wenu. tunahofia kuweka picha mkatamani. Hizo kofia za bilal na mwinyi nakupeni first class. YAANI NIMEZIKUBARRRRRRRRRR

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...