Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa sita kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa salamu za Sikukuu ya Eid kwa waumini wa dini ya Kiislam, baada ya kushiriki katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa pili kushoto) Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, (wa tatu kushoto) wakijumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais Mstaafu wa Awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, iliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo asubuhi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam, wakati akiondoka katika viwanja vya Mnazi Mmoja baada ya kumalizika kwa swala ya Sikukuu ya Eid Mubarak, leo asubuhi.Picha na Muhidin Sufiani - OMR.






NAULIZAA HIVI HII IDD NI YA WANAUME TUUUU??? KWA NINI HATUONI PICHA ZA WANAWAKE HUMU? KWANI WAO WAHAWAJAENDA MSIKITINI? ACHENI UPENDELEO NYINYI WATU, HAKI SAWA KWA WOTE, BAADA YA KUPIKIWA FUTARI MWEZI MZIMA LEO SIKUKUU NDO IMEKUWA TABU MNAUZA SURA PEKE YENU?!
ReplyDeletetatizo wewe mdau wa kwanza una matamanio ya wanawake ndio mana watu wanajuwa ubovu wenu. tunahofia kuweka picha mkatamani. Hizo kofia za bilal na mwinyi nakupeni first class. YAANI NIMEZIKUBARRRRRRRRRR
ReplyDelete