Wake wa Marais wa Wakuu wa Nchi za kusini mwa Africa (SDC) Katikati ni Mke wa Rais wa Tanzania Mama Salma Kikwete na wa kwanza kulia ni mke wa Rais wa Zambia Dr. Christine Kaseba –Sata wakifuatilia majadiliano ya Mkutano huo mjini Maputo
Wakati wa nyimbo za Taifa
Mama Salma Kikwete akitoka nje ya Ukumbi baada ya mapumziko ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi Kusini mwa Afrika (SADC) mjini Maputo –Msumbiji. Picha na Anna Itenda - Maelezo





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...