Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mtumeeeeeeee!!!!!!! hii ni foleni au ni sehemu ya kuuzia magari, umeme huko si ukikatika ni mauwaji hali ilikuwaje kwenye majengo marefu ya Delhi mpya na mumbay. Hatari kubwa siwezi kufikiria hapa kwetu makelele tu umeme kwetu hauna kazi kama huko,hivi vya kwetu ni vijifoleni na tunashinda kutwa barabarani. Mungu usitujaaliye foleni ya namna hii tutazirai njiayani.

    ReplyDelete
  2. Halafu jana jioni ulisema utaweka petroli asubuhi on your way to work!!!!

    ReplyDelete
  3. JAMANI JAMANI HII NI MOTERWAY AU?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...