Kupata taswira inayovutia na kuelimisha inabidi mpigapicha utumie akili na maarifa kama alivyokutwa mchukua taswira kwenye kituo cha mabasi Arusha leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Huko Arusha vipi tena ?? mbona mnaonekana kama ma -homeless wa New York, ukipita wanakuomba chenji-yo nigger you got a spare change ??. Jamani tokeni mijini kama hamna la maana la kufanya, nchi yetu imebarikiwa kwa ardhi safi, halafu wewe mpiga picha , acha zako za uzushi.Yaani hapo uko sehemu safi peupe kabisa na watu hao wako karibu yako tu,huna sababu zozote za kujipinda namna hiyo. You making a simple job look hard. Michu, fukuza kazi huyo jamaa. Pia ushukuru Arusha hakuna vibaka ,maana hiyo camera ungeikuta Manzese. Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  2. Ndugu Zebedayo,

    Kama inchi ina ardhi safi wewe huko New York unatafuta nini? Kwanini usiseme nipo kijiji fulani nalima zao fulani, na nawakaribisha katika hii shughuri kwa sababu inalipa na inajenga inchi yetu.
    Onyesha mfano kwanza kabla ya kukosoa.

    Mdau.

    ReplyDelete
  3. Jamani, sijasema ninaishi New York ,NO tena hapana kabisa yaani hata kama nitalipiwa chumba cha kukaa na nikapewa na pesa ya matumizi SITAKI, nilikwenda tu mara moja kikazi,niliyoyaona huko !!! aibu !! walichotushinda ni majumba marefu tu,kuna sehemu hupiti kwa uchafu, omba omba ndiyo usiseme na wengi omba omba ni weusi na kuuza vitu vya wizi, kuna usafiri wa train za mjini,basi ndani harufu na si ajabu ukakuta mkojo ndani. Mimi niko kijijini nalima mahindi na mpunga, yaani !!! we acha tu,kumbe maisha ni shambani,nimepanda miche ya miembe 700 ingawa mingi imekufa kufa shauri mwaka kuwa na mvua haba, lakini imo iliyositahimili. Lengo langu na mimi nitoe mchango wangu wa hata kidogo kwa jamii na nchi yangu, kama hivi alivyofanya Ankal kutuanzishia hii blog.Kila mtu na ajiulize je ??? mchango wako ni upi ??? au unavute hewa ya Mungu bure na kutujazia vyoo. Nafikili nimelijibu swali lako. Kama kila mmoja wetu ataishi kwa malengo yenye faida kwa jamii na nchi nzima !!! wala huko UK na USA sizioni sababu za kwenda huko.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  4. Wewe Zebedayo Upo UK wacha kuongopea watu hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...