Bw. Godson Luya, mkazi wa kata ya Terati wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya katika mkutano ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika kata hiyo hivi karibuni.
Wakazi Laiboret - Wakazi wa Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara wakifuatilia mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya ulioitishwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba wilayani hapo hivi karibuni.
1.Katiba isuhusu sisi kukeketa
ReplyDelete2.Kloriti na ugoro iuswe supamaket
3.Marufuku mmasai kula singisi
4.Hapana funga sisi hata kama na kosea.
Nasikia hiyo maneno yero?
Angalieni vizuri picha ya chini,kuna khanga, jeans,magauni na t shirt. Utamaduni wa Kimasai unatokomea taratibu, wenye kutunza kumbukumbu jamani wahi wahi, ili tujuwe tulikotoka na tulipofikia na tunakokwenda. Zebedayo msema kweli
ReplyDeleteKatika Katiba Mupya tafasali letea sisi Maasai:
ReplyDeleteNi waso msuri ile CRDB Bank naleta baada ya kuboesa bili ya umeme inalipa, baada ya kuhamsha mbesa kwa mama yeyoo inalipa, na ile kuhamisha mbesa kwa Msee Laisa Longido, sasa iwese kuleta mvua kwa Boma setu ng'ombe kupata maji !!!