Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012 wilaya ya Ilala na Kinondoni wakiwa na mmoja wa wadhamini wao "Secrets Lingerie" wakifurahiya michezo na mazoezi ufukwe wa Msasani beach club wakijiandaa na mechi ya mpira wa ufukweni (beach soccer) itakayofanyika jumapili hii tarehe 26/08/2012 kati ya washiriki wa Miss Utalii Ilala 2012, Miss Utalii Kinondoni 2012 na Miss Utalii Temeke 2012.

Mashindano ya Miss Utalii Ilala na Miss Utalii Kinondoni kwa mara ya kwanza, yatafanyika kwa pamoja mwaka huu tarehe 14/09/2012 katika Hoteli ya Serena zamani Movenpick hapa Dar-es-salaam.
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...