Urban Pulse na mdau mkuu wa habari za ughaibuni Freddy Macha waweletea habari moto moto siku moja baada ya kutangazwa kuhama kwa mshambuliaji na nahodha wa Arsenal, Robin Van Persie kwenda Manchester United adui wake mkubwa. Mahojiano yalifanywa kando kando ya uwanja maarufu wa Emirates ambapo washabiki walikuwa wakielekea kufurahia mechi ya kwanza ya ligi (2012-2013) baina ya Arsenal na Sunderland

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...