Kwa niaba ya wana-Diaspora wote wanaoishi nchini Canada, Kamati Tendaji ya Zanzibar – Canadian Diaspora Association (ZACADIA) inachukuwa fursa hii kutoa mkono wa Eid El-Fitr kwa Waislamu wote duniani.
Mola atujaalie swaumu zetu na dua zetu tulizokuwa tukizisoma katika mwezi mtukufu wa Ramadhani zikubaliwe. Pia, tunaomba Mola atufungulie milango ya kheri na atupe mioyo ya kuendeleza kufanya mema kila siku.
ZACADIA inakutakieni Waislamu nyote kila la kheri katika hii Eid!
Katibu
ZACADIA
Toronto, Canada.
Source: zanzibarnikwetu.blogspot.co.uk



ZACADIA NDIO WALE UAMSHO? SISI TUNAJUA HIYO BENDERA YA TANZANIA NANYINYI NI WATANZANIA HIYO SASA NI IPI?
ReplyDelete