Wadau wa Blog ya Jamii Jijini Cairo Misri pamoja na WANAFUNZI WOTE WANAOSOMA KATIKA CHUO KIKUU CHA AL- AZHAR SHARIEF Kinawatakia Waislam wote Duniani na Tanzania Kwa  Furaha ya Sikukuu ya EID - MUBARAKA .

TAQABALLAH ALLAHU MINNA WAAMINKUM SWAALIHAL A3MAAL = AMIIN 
M/MUNGU AZIPOKEE IBADA ZETU NA FUNGA ZETU NA ATUDUMISHE MILELE KATIKA MAMBO YALIYO MAZURI DAIMA

KWISHA KWA FUNGA YA MWEZI WA RAMADHANI SIO MWISHO WA KUFANYA IBADA  NA MAMBO MAZURI HUO NDIO MWANZO WA MUENDELEZO WA MAMBO MEMA.

ALIYE KUWA AKIMUABUDU M/MUNGU KATIKA MWEZI WA RAMADHANI MWEZI WA RAMADHANI UMEISHA NA ALIYEKUWA AKIMUABUDU M/MUNGU DAIMA M/MUNGU YUPO MILELE NA MILELE.

SWALA YA EID ITASWALIWA INSHAALLAH KATIKA MSIKITI WA MADINATUL -  BOUTH - ABBASIA SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI.

SHEIKH MKUU WA MKOA WA CAIRO KWA TANZANIA NCHINI MISRI SHEIKH JUMA ABDUL RAHMAN KUTOKA BABSHAARIA ATAKUWEPO.

SHUKRANI TIMU NZIMA YA BLOG YA JAMII NANYI KWA PAMOJA NAWATAKIA EID MUBARAK 

GHALIB N MONERO
AL-AZHAR SHARIEF 
CAIRO - MISRI 
FB: KIJANA WA KIISLAM DSM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...