Mh.Mbowe akimwaga sera za CHADEMA kwa wadau wa Houston
Sehemu ya umati wa wadau
Mwenyekiti wa TZ-Houston Community, Nd.Novatus Simba
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda
Mdau Kasapira aka Yes We Can wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda
Future M4C wa Houston
Wadau
Mdau Sekulu akimuuliza swali Mh.Mbowe
Andrew Sanga akiwa na kadi ya CDM
hivi andrew ni mtoto wa tuntemeke Sanga?
ReplyDeleteni swali tu msinibanie jamani.
Andunje
hii imekaaje wadau, hebu tuelimishane jamani.. inakuwaje chama kilichosajiliwa nchini kinafanya mikutano nje ya nchi, kulikoni?. au ndo kupandikiza magugu ambayo yatapewa mafunzo kwa ufadhili wa nchi walipo halafu baadae wanarudi huku na kudai wanamapinduzi, wanakuja na silaha na kuanzisha mapigano na serikali iliyopo madarakani?..haya yametokea tunisia, libya, misri, sirya...hebu tupate ufafanuzi kwa wahusika hasa msajili wa vyama vya siasa nchini...kuna siri gani kwa hawa CDM na CCM kuendesha mikutano yao nje ya nchi?.ina maana hapa nchini wamewaelimisha wananchi wote...hii imekaaaje..naomba ufafanuzi wadau...sipendi kabisa vita mimi ila nataka mageuzi.
ReplyDeleteAnonymous uliyepost saa Mon Aug 27, 12:44:00 PM 2012
ReplyDeleteNaomba uelewe kwamba ukiwa nje ya nchi yako unakuwa hujapokeza urai wako,ndio maana kuna na balozi ktk nchi husika.Mipango yote ya mikutano ina kuwa na baraka za barozi zetu.Kwa hy kufanya mikutano nje ya nchi si kosa,ni njia mojawapo ya kuimalisha chama husika ,pamoja na kutafuta wanachama wapya.Kwa hy vyama vyote vyenye uwezo au wakeleketwa wake wanaweza kufanya mikutano.Kwa maoni yangu ,naona ni sahihi kabisa,kwani watZ walionje wanapata fursa ya kushiriki mambo ya kisiasi,kwani SIASA ni Maisha.Maisha ya waTZ yalivyo yanatokana na mfumo wa siasa ktk nchi husika,kwani kinaposhika madaraka kinahodhi vyanzo vyote vya pesa
siyo kila sanga ni mtoto wa tumtemeke sanga anaweza kuwa sanga mwingine
ReplyDeletembona picha za ufunguzi wa CCM DC hazijawekwa? manake nilikuwa nazisubiria huku kwa michuzi niweke dukuduku langu
ReplyDeletemdau Mon Aug 27, 12:44:00 PM 2012, utajuaje kama wapo ng'ambo? haya mambo yalishabikiwa sana uingereza, leo hii ccm ipo wapi?
ReplyDeleteMAREKANI SI RUHUSA KUSAJILI CHAMA CHOCHOTE KUTOKA NJE YA NCHI AU HUWEZI KULETA UFALME WAKO HUKOOOO KUULETA MAREKANI JARIBUNI KUSOMA CONTITUTION YA MAREKANI.HII NI KATIKA KUWALIA PESA ZENU TU WAJINGA WATANZANIA KWANI WATANZANI WALIOELIMIKA HAWAJIHUSISHI NA MAMBO KAMA HAYA.
ReplyDeleteIts a matter of choice and freedom.You mind your own business ,let them do what they do.
DeleteHawajaja kwako kukuomba mboga.
a$$ #0le...
ReplyDeleteHawa jamaa wameakamia kweli maji!
Chezea CHADEMA weye? aha! CHADEMA iko juu kama mkungu wa ndizi!
ReplyDeleteHawa jamaa wameakamia kweli maji!
ReplyDeleteTue Aug 28, 01:29:00 AM 2012
Na mkamia maji.........!?
sesophy
Tafauti na CCM Washington watu weusi hawa onekani wako nyuma.Kuna changamoto kuhusu siyo dini pia rangi ya mtu. CHADEMA haina tatizo kuhusu rangi.
ReplyDelete