Mh.Mbowe akimwaga sera za CHADEMA kwa wadau wa Houston
Sehemu ya umati wa wadau
 
Mwenyekiti wa TZ-Houston Community, Nd.Novatus Simba
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda
Mdau Kasapira aka Yes We Can wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda
Future M4C wa Houston
Wadau
Mdau Sekulu akimuuliza swali Mh.Mbowe
Andrew Sanga akiwa na kadi ya CDM

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. hivi andrew ni mtoto wa tuntemeke Sanga?

    ni swali tu msinibanie jamani.

    Andunje

    ReplyDelete
  2. hii imekaaje wadau, hebu tuelimishane jamani.. inakuwaje chama kilichosajiliwa nchini kinafanya mikutano nje ya nchi, kulikoni?. au ndo kupandikiza magugu ambayo yatapewa mafunzo kwa ufadhili wa nchi walipo halafu baadae wanarudi huku na kudai wanamapinduzi, wanakuja na silaha na kuanzisha mapigano na serikali iliyopo madarakani?..haya yametokea tunisia, libya, misri, sirya...hebu tupate ufafanuzi kwa wahusika hasa msajili wa vyama vya siasa nchini...kuna siri gani kwa hawa CDM na CCM kuendesha mikutano yao nje ya nchi?.ina maana hapa nchini wamewaelimisha wananchi wote...hii imekaaaje..naomba ufafanuzi wadau...sipendi kabisa vita mimi ila nataka mageuzi.

    ReplyDelete
  3. Anonymous uliyepost saa Mon Aug 27, 12:44:00 PM 2012

    Naomba uelewe kwamba ukiwa nje ya nchi yako unakuwa hujapokeza urai wako,ndio maana kuna na balozi ktk nchi husika.Mipango yote ya mikutano ina kuwa na baraka za barozi zetu.Kwa hy kufanya mikutano nje ya nchi si kosa,ni njia mojawapo ya kuimalisha chama husika ,pamoja na kutafuta wanachama wapya.Kwa hy vyama vyote vyenye uwezo au wakeleketwa wake wanaweza kufanya mikutano.Kwa maoni yangu ,naona ni sahihi kabisa,kwani watZ walionje wanapata fursa ya kushiriki mambo ya kisiasi,kwani SIASA ni Maisha.Maisha ya waTZ yalivyo yanatokana na mfumo wa siasa ktk nchi husika,kwani kinaposhika madaraka kinahodhi vyanzo vyote vya pesa

    ReplyDelete
  4. siyo kila sanga ni mtoto wa tumtemeke sanga anaweza kuwa sanga mwingine

    ReplyDelete
  5. mbona picha za ufunguzi wa CCM DC hazijawekwa? manake nilikuwa nazisubiria huku kwa michuzi niweke dukuduku langu

    ReplyDelete
  6. mdau Mon Aug 27, 12:44:00 PM 2012, utajuaje kama wapo ng'ambo? haya mambo yalishabikiwa sana uingereza, leo hii ccm ipo wapi?

    ReplyDelete
  7. MAREKANI SI RUHUSA KUSAJILI CHAMA CHOCHOTE KUTOKA NJE YA NCHI AU HUWEZI KULETA UFALME WAKO HUKOOOO KUULETA MAREKANI JARIBUNI KUSOMA CONTITUTION YA MAREKANI.HII NI KATIKA KUWALIA PESA ZENU TU WAJINGA WATANZANIA KWANI WATANZANI WALIOELIMIKA HAWAJIHUSISHI NA MAMBO KAMA HAYA.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Its a matter of choice and freedom.You mind your own business ,let them do what they do.
      Hawajaja kwako kukuomba mboga.
      a$$ #0le...

      Delete

  8. Hawa jamaa wameakamia kweli maji!

    ReplyDelete
  9. Che GuavaraAugust 28, 2012

    Chezea CHADEMA weye? aha! CHADEMA iko juu kama mkungu wa ndizi!

    ReplyDelete
  10. Hawa jamaa wameakamia kweli maji!

    Tue Aug 28, 01:29:00 AM 2012

    Na mkamia maji.........!?

    sesophy

    ReplyDelete
  11. Tafauti na CCM Washington watu weusi hawa onekani wako nyuma.Kuna changamoto kuhusu siyo dini pia rangi ya mtu. CHADEMA haina tatizo kuhusu rangi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...