Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Mh Leonidas Gama akimtaja mshindi aliyejinyakulia gari aina ya Vits iliyokuwa ikinadiwa kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012,maara baada ya kuchezeshwa droo usiku huu,pichani mwanzo kulia ni Mkurugenzi wa Masoko kampuni ya bia ya Serengeti,Ephraim Mafuru,Muwakilishi kutoka michezo ya bahati nasibu ya Taifa,Abdallah Mohamed akishuhudia tukio hilo,na mwisho kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya Clouds Media Group,Joseph Kusaga pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mjini,Mh Dr Msengi wakishuhudia tukio hilo usiku huu ndani ya uwanja wa chuo cha ushirika.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Mh Leonidas Gama sambamba na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Mjini,Mh Dr Msengia wakiingia kwa shangwe kwenye jukwaa la Serengeti Fiesta 2012 usiku huu kwa ajili ya kulizindua tamasha hilo ambalo limepokelewa vyema kwa wakazi wa mji huo na vitongoji vyake.Pichani kulia ni Dj Zero akikamua vilivyo.
Dj Pq kutoka Clouds FM akikamua vilivyo kwenye mashine,kati ni mtangazaji wa Clouds FM B Dozen na mdau mwingine wakifuatilia kwa makini makamuzi yanayoendelea usiku huu,ambapo washabiki kibao wamejitokeza ndani ya uwanja wa chuo cha ushirika.

Pichani shoto ni msanii kutoka THT,Recho sambamba na wacheza shoo wake wakitumbuiza jukwaani usiku huu ndani ya tamasha la Serengeti Fiesta 2012.Picha Zaidi BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...