Watangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu na Loveness Love a.k.a Diva Mimi wakirusha matangazo 'Live' ndani ya jiji la Tanga.  Fiesta ndiyo hiyo imeanza kubamba na itafanyika tarehe 26.8.2012 uwanja wa Mkwakwani kwa kiingilio cha Buku tano tu.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...