Sheikh Yahya Hussein Tahfidh Qur-an & Tajwid Foundation wakishirikiana na Familia ya Marehemu Sheikh Yahya Hussein inayo heshima kukualika /Kuwaalika Futari siku ya Ijumaa, tarehe 10/8/2012 sawa na Mwezi 21 Ramadhani nyumbani kwa Marehemu Magomeni Mwembechai, Mtaa wa Kagera na Mikumi saa 12.30 jioni

Swala ya Magharibi itaswaliwa hapo hapo Nyumbani

Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli yenyewe

Wabillahi Taufiq
Alhajj Maalim Hassan Yahya Hussein
Katibu Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...