Mdau alipata fursa ya kukutana na Dkt Asha Rose Migiro
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake Dkt Asha Rose Migiro akiwa kwenye picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda pamoja na wanachama wa chama cha wabunge wanawake wa Tanzania. Dkt Migiro yupo mjini Dodoma kwa mwaliko wa Spika wa Bunge. Ametumia fursa hiyo kukutana na wabunge wanawake na kuwaasa kufanya kazi kwa bidii ili kuharakisha maendeleo ya Tanzania.


hivyo kazi ya asha migiro ilikuwa nini huko united nation kwani sijawahi kumsikia katika vyombo vya habari hapa united kingdom
ReplyDeleteHii taarifa haikuzingatia Itifaki, kwa mtu ambaye hamfahamu Mhe. Spika anaweza kufikiri Huyo Bw. Hapo ndiye Spika wakati siye. Picha ya kiongozi haiwezi kutanguliwa na mtu mwingine.
ReplyDeleteAnajiweka tayari kutangaza kugombea UWT nini?
ReplyDelete