Ng’ombe wa nyama anayeitwa Njere mwenye umri wa miaka mitano na uzito wa kilo 986 anayefugwa na Mfugaji kutoka kanda ya Kati aliyejulikana kama Bw. Mshando ambaye alishiriki katika mashindano maalumu ya Mifugo wakati wa Maonesho ya Nane Nane mjini Dodoma.
 Ng’ombe ambaye ni dume wa mbegu aina ya Boran anayeitwa Champion mwenye umri wa miaka mitano na uzito wa kilo 800 anayefugwa na Gereza la Mbigiri kutoka kanda ya Mashariki ambaye alishiriki katika mashindano maalumu ya Mifugo wakati wa Maonesho ya Nane Nane mjini Dodoma.
Ng’ombe wa maziwa aina ya “Friesian” anayeitwa Shanti mwenye umri wa miaka sita, anatoa maziwa kati ya lita 26 hadi 30 kwa siku anayemilikiwa na mfugaji Kahola Gyumi wa kanda ya Kati ambaye alishiriki katika mashindano maalumu ya Mifugo wakati wa Maonesho ya Nane Nane.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. mashindano maalum ndio yapi hayo??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...