New arrivals at The Linen Store at Quality Center. Amazing gifts for kitchen and send off parties. Lots of duvet sets, comforter sets and bed spreads. Come visit us and for more CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bwana Michuzi:

    Bongo ni vipi maduka yanauza bidhaa bila kuweka bei? Huku ughaibuni ni mwiko na marufuku kufanya hivyo!

    Ina maana unatakiwa mnunuaji kila kitu uulize bei? Aidha unaweza kuchukua kwenda kulipia na ukaathirka kwenye kulipa kwa sababu wanweza kutaja bei yeyote ile.

    Naombe wengine wanisaide kuwa ni chombo kipi kina mamlaka ya kumlinda mnunuzi bongo, na ni vipi chombo hicho kinajikita kuweka bayana na kufuatailia kwa umakini sheria halali ya maduka kuweka bei za bidahaa zao? Hii ni dhahiri kuwa itampa mnunuzi imani kuwa bei anayopewa sio ile ya kuangaliwa usoni.

    Kwa kweli hiyo video ni kama inaonyesha nyumba ya makumbusho (museum) na sio duka.

    Au ni duka la wanunuzi wenye budget ya kupindukia na hawajali bei.

    . . . Jamani Bongo tunasafari ndefu.

    Mdau
    Calgary, Canada

    ReplyDelete
  2. The affect of FISH EYE uliyoiweka inharibu uhondo wa hii clip. And i agree with the guy above about the displaying of price. huu sio ufanyaji mzuri wa biashara."wake up bongo"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...