Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia na kombe lao baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa mabao 4-3 katika mchezo wa fainali ya michuano ya SUP8R uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mh. Dk Fenella Mkangala akiwapa medali wachezaji wa Simba.
Wachezaji wa Simba wakimbeba kocha wao Suleiman Matola baada ya mchezo
Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akiwapungia mkono mashabiki wa Simba.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mh. Dk Fenella Mkangala akimkabidhi kombe nahodha wa Simba, Edward Christopher
Furaha ya ushindi.


asanteni sana jamani simba ni simba tu.....
ReplyDeleteHongereni watani Simba kwa kunyakua kombe la Mbuzi.
ReplyDeleteMdau
Jangwani
Maneno ya mkosaji!
ReplyDeleteUkweli lazima tuseme mimi ni shabiki wa YANGA lakini huwa hainingii akilini tunapokataa kushiriki michezo mbali mabli kwa kutoa visingizio kibao Ooh mara muda hautoshi, sijui tunajiandaa na mashindano wachezaji wataumia Ooh mara sijui nini?
Kwa kweli huwa sielewi kwani kushiriki mashindano mbali mbali naamini ndiko kunakowapa wachezaji mazoezi na kujipa uzoefu.
Kwa uelewa wangu mdogo nadhani hii haijakaa sawa inabidi tujiangalie.
Au wadau mnasemaje? naomba kuelimishwa.