Home
Unlabelled
NYUMBA INAPANGISHWA IPO TABATA KIMANGA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Weka Wazi Kodi kuepuka usumbufu, na teerms zako kama unataka kodi ya mwaka , au ya mwezi miezi mitatu au miezi sita. Hii itatusaidia kupata taarifa kamili
ReplyDeletenje na bei gani, na je ninatakiwa nifanye malipo kila mwezi tafadhali niwekee wazi hivi vitu kwa e mail hii z.nz@hotmail.com
ReplyDeleteshukran sana
Tufahamishe basi !! kodi ni Pound ngapi kwa mwezi ??? au tayari vijana wa TRA wamesha chukua mwari huyo ?? yaani imetulia !!! kama zile za downing street. Bongo !! labda al-qaeda watuchafulie tu-lakini kutesa tunatesa.Mungu tujaalie amani na utulivu. Bisimilah Rahiman Rahim. Zebedayo msema kweli.
ReplyDeleteNYUMBA NZURI ILA MAENEO ULIYOTAJA NI DSM AU MOSHI?MAANA MITAA HII IPO KWENYE MANISPAA YA MOSHI.
ReplyDeleteTaja bei kamili ya hiyo nyumba kwa mwezi.Weka adharani,big up mdau.
ReplyDeleteAnony wa 11.42 uliruhusiwa na Dr. kutoka Mirembe au ulitoroka?
ReplyDeleteKuna maji? maana tabata duuh
ReplyDeleteTabata kimanga=tabata mawezi?
ReplyDeleteAu Mimi ndio nachanganya madesa
Anony wa 07.21 huko siyo kumuelewesha mwenzio? wewe huna habari huko mikoani vitongoji vingi majina yanafanana na yaliyotajwa hapo juu?muuzaji alipaswa ataje kama ni DSM.Pia watu wengi wanaoishi nje more than 20yrs wanasahau pia.Watanzania tupendane.
ReplyDeletehuyu zebedayo anapenda sifa jamaa/jike huyu duu,anatafuta umarufu kwa hali na mali jamaa/jike duu na michuzi unamuwekea comment zake zisizo na kichwa wala miguu za kwetu unazichekechea mkuu sawa.
ReplyDeletesasa wapi na wapi wewe bitoz zebedayo kusema mambo ya al qaeda na wala hiyo bismillah hujui wewe halafu michuzi unanichafu sana kumuwekea comment zake jamaa huyu na za kwetu za maana unazibania nishai sana wewe