Nyumba inapangishwa ipo katika maeneo ya Tabata Kimanga katika hali nzuri ina vyumba 4 (Master 2) ina fency na geti, ina parking ya magari 3 ina fency security ya umeme. Ipo tabata Mawenzi karibu na barabara kwa mawasiliano piga 0714769571 au 0713235690.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Weka Wazi Kodi kuepuka usumbufu, na teerms zako kama unataka kodi ya mwaka , au ya mwezi miezi mitatu au miezi sita. Hii itatusaidia kupata taarifa kamili

    ReplyDelete
  2. nje na bei gani, na je ninatakiwa nifanye malipo kila mwezi tafadhali niwekee wazi hivi vitu kwa e mail hii z.nz@hotmail.com

    shukran sana

    ReplyDelete
  3. Tufahamishe basi !! kodi ni Pound ngapi kwa mwezi ??? au tayari vijana wa TRA wamesha chukua mwari huyo ?? yaani imetulia !!! kama zile za downing street. Bongo !! labda al-qaeda watuchafulie tu-lakini kutesa tunatesa.Mungu tujaalie amani na utulivu. Bisimilah Rahiman Rahim. Zebedayo msema kweli.

    ReplyDelete
  4. NYUMBA NZURI ILA MAENEO ULIYOTAJA NI DSM AU MOSHI?MAANA MITAA HII IPO KWENYE MANISPAA YA MOSHI.

    ReplyDelete
  5. Taja bei kamili ya hiyo nyumba kwa mwezi.Weka adharani,big up mdau.

    ReplyDelete
  6. Che GuavaraAugust 03, 2012

    Anony wa 11.42 uliruhusiwa na Dr. kutoka Mirembe au ulitoroka?

    ReplyDelete
  7. Kuna maji? maana tabata duuh

    ReplyDelete
  8. Tabata kimanga=tabata mawezi?
    Au Mimi ndio nachanganya madesa

    ReplyDelete
  9. Anony wa 07.21 huko siyo kumuelewesha mwenzio? wewe huna habari huko mikoani vitongoji vingi majina yanafanana na yaliyotajwa hapo juu?muuzaji alipaswa ataje kama ni DSM.Pia watu wengi wanaoishi nje more than 20yrs wanasahau pia.Watanzania tupendane.

    ReplyDelete
  10. huyu zebedayo anapenda sifa jamaa/jike huyu duu,anatafuta umarufu kwa hali na mali jamaa/jike duu na michuzi unamuwekea comment zake zisizo na kichwa wala miguu za kwetu unazichekechea mkuu sawa.
    sasa wapi na wapi wewe bitoz zebedayo kusema mambo ya al qaeda na wala hiyo bismillah hujui wewe halafu michuzi unanichafu sana kumuwekea comment zake jamaa huyu na za kwetu za maana unazibania nishai sana wewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...