Kamanda Ras Makunja na platuni nzima ya FFU Ughaibuni inawatakia wadau wote wa Globu ya Jamii pamoja na wapenzi wake wote Mkono wa Iddi na kuwataka msherehekee kwa amani siku hii tukufu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. vichaa wetu ffu nanyi tunawatakia heri ya Idd Mubarak,mungu azidi kuwabariki

    ReplyDelete
  2. hello kamanda na kikosi chako,mbarikiwe kwa upendo mlio nao wa kila wakati kutumbuka wadau wenu

    ReplyDelete
  3. ffu wazee wa vya machozi,tunawakubali
    virungu na vigongo vyenu ni tishio

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...