Baadhi ya Waandishi wa Habari wakimsikiliza RC Kilimanjaro, Leonidas Gama
 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akifafanua jambo wakati wa hotuba yake ya kufungua ya Sensa ya Watu na Makazi  mwaka 2012 kwa Waandishi wa Habari Kanda ya Kaskazini iliyoshirikisha Mikoa ya Manyara, Tanga, Pwani, Arusha, Kilimanjaro na Morogoro yaliyokuwa yakifanyika kwenye ukumbi wa Hosteli ya Umoja Mjini Moshi, ( wa pili kutoka kushoto) ni Mwenyekiti wa Mafunzo hayo,  Benny Mwaipaja ,  Mwandishi na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania ( TBC) zaidi ya waandishi wa habari 140 wanashiriki mafunzo hayo ya siku mbili.
 Umakini wa kusikiliza mafunzo ya sensa kwa waandishi wa Habari wa Kanda ya Kaskazini
Waandishi wa habari wanawake kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wa kutoka Mikoa ya Pwani, Tanga, Arusha, Manyara na Morogoro katika picha ya pamoja na RC Kilimanjaro.
Picha zote na John Nditi yaliyeko Mkoani Kilimanjaro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...