Home
Unlabelled
Kiwanja cha ndege Serengeti kilivyo busy kinoma - video
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mmmh hapa mtu ukifikiria kwa makini sana utapata majibu na maswali mengi sana na kujiundia kamati: swali kwanini kiwanja hakiboreshwi? Je hizo kodi zinazopatikana hapo zinaenda kwenye nini? kiwanja cha ndege hakina gari la Fire watu wa Healthy n Safety wapo wapi... kweli kazi mupya nguvu za kujiwekezea!!! angalia ni ndege ngapi zimeingia hapo na kila ndege ni kaisi gani na mahesabu mengine tuu kwa wale waliosoma hesabu wanajuwa
ReplyDeleteMmmh hapa mtu ukifikiria kwa makini sana utapata majibu na maswali mengi sana na kujiundia kamati: swali kwanini kiwanja hakiboreshwi? Je hizo kodi zinazopatikana hapo zinaenda kwenye nini? kiwanja cha ndege hakina gari la Fire watu wa Healthy n Safety wapo wapi... kweli kazi mupya nguvu za kujiwekezea!!! angalia ni ndege ngapi zimeingia hapo na kila ndege ni kaisi gani na mahesabu mengine tuu kwa wale waliosoma hesabu wanajuwa
ReplyDeleteyaani inaskitisha kuona watanzania wengine ni maskini baada yakuona hii video mdau toka buja
ReplyDeletedu kweli watnzania kuna mengi hatuyajui yaani nimejitahidi kuangalia kwa makini isiye ikawa fotoshopu< ni ndege nyingi na watalii wengi sasa iweje sisi tuendelee kuwa maskini hivi, inakera jamani.
ReplyDeleteNchi yetu ni masikini kwa sababu hakuna watendaji bora na wenye uchungu na nchi yao!Mafisadi wamejaa na kila mtu anafikiria tumbo lake!Hakuna kitu kibaya kama ubinafsi!
ReplyDeleteWALE WARABU WALIESHUKA NA KANZU ZAO WANA HELA CHAFU SANA WENGI WAO WANAKUWA NI WATOTO WA VIONGOZI WA KIFALME
ReplyDeleteKIWANJA KIPO BIZE SANA MAINGIZO MAZURI BORESHENI KIWANJA KIWE KINA KIWANGO NA UBORA WA KISASA KIDOGO SIO VUMBI KWA KWENDA MBELE