Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM, Mwanaamina Haji Farouk (kulia) akipokea fomu kutoka kwa Karani Mafunda Ramadhan Sudi,  ya kuomba kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa.Hafla hiyo ilifanyika kwenye Ofisi za Jumuia hiyo za Mkoa wa Kusini Pemba Mjini Chake chake Kisiwani Pemba hapo jana, ambapo shamra shamra za uchukuaji wa fomu zimeanza.Picha na Haji Nassor-Pemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Ohhh Pemba siye ni Upinzani tu nani kasema hivyo?

    Mwanamama Kada ndani ya uzi wa Chama tawala!

    Angalieni Jembe na Nyundo (CCM) zinavyo charanga hapo juu!!!

    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!

    ReplyDelete
  2. MWIMBAJI:Jembe na Nyundo Pepea!x5
    WAITIKIAJI:Jembe na Nyundo Pepea!x5

    MWIMBAJI:CCM Pepea x5
    WAITIKIAJI:CCM Pepea x5

    Haya sasa Upinzani na CUF habari ndiyo hiyo!

    ReplyDelete
  3. Assalama Lekko zako Bibie Kada wa Chama Tawala Mwanaamina !

    Inshallah utashinda kiti hicho!


    CCM juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  4. Mpemba mjanja mmemuona?

    Sio mwingine ila ni Bibie Kada wa Chama Mwanaamina Haji Farouk kwa kupiga Bingo akiwa ndani ya Chama Tawala CCM!

    ReplyDelete
  5. Bibie Mwanaamina Kada wa CCM Pemba, na kofia ya mzula kama Mwanamapinduzi CHE GUEVERA ila ukipewa Madaraka huko Pemba usije ukawa mbogo na Dikteta kama mwanamama Raisi wa Malawi Joyce Banda ukawasweka Maasheikh wa Uamsho Unguja na CUF kuwaweka 'Chuo cha Mafunzo' a.k.a kwa Bara Lupango bin Gerezani!!!

    ReplyDelete
  6. Kila la kheri Kada wa Chama CCM Mwanaamina ila usije ukawafunga Masheikh wa Uamsho na CUF huko Visiwani ukipata madaraka!!!

    ReplyDelete
  7. heeeeee heeeee ulivo tu hata ukishindwa hiyo UVCCM utapata kiti maalum usijali.Kwani hapo ishu ni upinzani? ama ni kugombea UVCCM? Au UVCCM nako kuna chama kipya cha upinzani? siwaelewi comment za cuf zinakuja vp hapa?

    ReplyDelete
  8. Hongera Dada inaonyesha jinsi gani Wapemba walivyokuwa kisiasa na sio tu kila Mpemba ni mpizani wa chama tawala. Ujasiri wako ni alama tosha ya uwezo wa kuongoza vijana. Kidumu chama cha mapinduzi.

    From: Mpemba Chokocho

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...