mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Mwambungu kulia akimkaribisha shekhe mkuu wa tanzania mufti Issa Shaban Simba kushoto,wakati wa wala ya idd el fitri iliyofanyika katika msikiti wa masjidi Hudda mjini songea.
Shekhe mkuu wa Tamnzania mufuti Issa Shaban Simba akiingia katika msikiti wa masjid Hudda wakati wa swala ya idd el fitri mjini songea ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Ruvuma.
Shekh Issa Shaban Simba akitoka katika swala ya idd el fitri ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Ruvuma.
Imamu wa msikiti wa masjid Hudda Sheke Shaban Mbaya akito mahubiri kwa waumini wa dini ya kiislamu wa wilaya ya songea wakati wa sikukuu ya idd el fitri ambayi kitaifa ilifanyika katika msikiti huo.
Shekhe mkuu wa Tanzania shekhe Issa Shaban Simba akizungumza na waumini wa dini ya kiislamu wa mkoa wa Ruvuma katika msikiti wa masjid Hudda manispaa ya songea wakati wa swala ya Idd el fitri ambayo kitaifa ilifanyika mkoani Ruvuma.Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii-Ruvuma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...