Sheikh Saleh Juma akikumbushia suala la Zakatul Fitr kabla ya sala kuanza
Sheikh Abdalla Sane aijiandaa kwenda kusalisha sala ya Eid iliofanyika katika ukumbi wa Taylor Road School
Imam akisisitiza juu ya safu kuwa sawa kabla ya sala
Hatimae sala ikasliwa kwa salama na amani.






hivi huko leicester hakuna wanawake? manake kila sikukuu ya idd nyie huwa mnatuma picha za wanaume tuu na hata mwaka jana mlituma picha zenu wenyewe na wadau kadhaa humu ndani waliuliza kulikoni mbona ni wanaume tuuuuuuu! kwani wanawake huko hawasali? na imani wanasali sasa kwa nini mnaleta picha zenu wanaume tu?! mbona DC hawapo kama nyie, idd mubarak wanawake wote wa leicester!
ReplyDeleteNa wako Leicester! Idd Mubarak wanawake wa Leicester na poleni.
ReplyDelete