Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. FANYENI HIVYO KWA KUWAKUMBUKA NDG ZENU NA KUIGA MAZURI YA HUKO NA SIYO MAVAZI YASYO HESHIMA KAMA MTAONYESHA UTAMADUNI WA MTANZANIA NA NI WA KABILA GANI

    ReplyDelete
  2. Tangazo hili limetoka tar 16 August wakati event yenyewe ni 15 August. Nilitaka kushiriki sasa ndo kusema mlishaandaa watu wenu wa kushiriki au??hv kwanini hata watu wa ubalozi mnashindwa kuwa sahihi kwenye mambo ya muda?hii kiukweli inaweza zusha hisia za upendeleo...michuzi usibanie waipate hii kitu ili wajirekebishe

    ReplyDelete
  3. Kwa tarehe hakuna tatizo kwa kuwa Marekani ipo nyuma kwa siku. Hata hivyo vazi la kitanzania lipoje?

    ReplyDelete
  4. wewe anonymous hapo juu mbona tarehe mie nayoiona ni Septmber 15. hiyo August 15 umeitoa wapi. obvious wewe ndo hauko sahihi. nyie ndo wale mnaolalamika kila kitu...anza kujirekebisha wewe kwanza

    ReplyDelete
  5. Anony wa Thu Aug 16, 01:49:00 PM 2012 - MBONA HUKU TANZANIA NDO WANAONGOZA KWA KUVAA MAVAZI YASIYO NA HESHIMA. TENA HUKO VIJIJINI HAWAVAI NGUO KABISA UNAKUTA MAMA WA MAKAMU CHAKULA YA MTOTO IKO WAZI TU ANAKATIZA MITAA, SASA SIJUI NI HESHIMA GANI UNAYOIONGELEA!

    ReplyDelete
  6. Anon Thu Aug 16, 06:02:00 PM 2012 wewe ndio wale wale wa kusoma juujuu..soma content inasema mwisho wa kujiandikisha ni tar 15August ambayo ilikuwa siku moja kabla ya tangazo kutolewa. Wanaosema sijui marekani iko siku moja nyuma ya tanzania ni uongo mtupu. Marekani ipo nyuma masaa 7-8 tu na si siku moja...watu wa ubalozi waje hapa kujibu hoja au wabadili tarehe ya kujiandikisha ndio tutawaelewa!

    Mdau
    Virginia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...