Mh Machano Othman Said-Waziri asie na wizara maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh. Machano Othman Said akimkabidhi vifaa vya michezo vitakavyotumika kwenye ligi kuu ya Grandmalt zanzibar kwa mwakilishi wa timu ya Jamhuri ya Pemba.wa pili kulia ni Meneja masoko wa Grandmalt Fimbo Buttalah na makamu wa Rais wa ZFA Ally Mohamed..
Waziri asie na wizara maalum wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Mh. Machano Othman Said akimkabidhi vifaa vya michezo vitakavyotumika kwenye ligi kuu ya Grandmalt zanzibar kwa mwakilishi wa timu ya Falcon ya Pemba.wa pili kulia ni Meneja masoko wa Grandmalt Fimbo Buttalah na makamu wa Rais wa ZFA Ally Mohamed –Timu za Falcon na Jamhuri zitapambana kwenye mchezo wa Ngao ya Hisani siku ya jumamosi 01/09/2012 usiku katika uwanja wa amani,Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Katika picha hii ukiniambia Waziri ni yupi kweli sina jibu,ila kama mwandishi anaweka picha na kutaja tu majina bila kuspecify,mfano waziri ....flani flan wa pili kushoto etc inakuwa ngumu sana hasa kama hujawai kumwona mtu huyo awali kuweza kutambua mtwajwa ktk picha.

    ReplyDelete
  2. Mwandishi amekosea. Mwakilishi wa Jamhuri ni Omar Ahmed Awadh na wa Falcon ni Hafidh. Picha ya Falcon imetajwa kuwa ni mwakilishi wa Jamhuri na wa Jamhuri Falcon.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...