Wazira wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Terezya Huvisa akizungumza na Wafugaji wa kijiji cha Ihanga Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro alipowataka Wafugaji Waondoe Mifugo yao na kuacha Uharibifu wa Mazigira kwenye hifadhi ya Bonde la Mto Kilombero wakati wa Ziara yaka Wilaya ya Ulanga na Kilombero.picha na Ali Meja.
Home
Unlabelled
waziri wa mazingira afanya ziara mkoani morogoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...