Kutana na mtaalamu anayetibu kisukari kwa kwenda kuondoa tatizo kwenye KONGOSHO ambalo linakuwa limepatwa na tatizo la kushindwa kutengeneza insulin iliyo na kazi ya kurekebisha sukari kwa kiwango kinachotakiwa katika damu. Dawa hizi zinazotengezwa na nafaka, mimea na viumbe vya baharini ambavyo husaidia katika kuondoa mafuta yaliyomo kwenye damu na kulifanya kongosho kufanya kazi yake kama kawaida na kwa urahisi zaidi.
Pia dawa hizi zinasaidia sana watu wenye matatizo ya moyo kwani zinaenda kusafisha mirija yote inayopitisha damu haswa iliyoziba kwasababu ya mwili kushindwa kuondoa uchafu ipasavyo kutokana na aina ya vyakula tunavyokula hivi leo na kuusaidia moyo kufanya kazi ipasavyo.
Kwa magonjwa mengine yanayosababishwa na maisha tunayoishi kama presha, cancer, figo, ini, vidonda vya tumbo na mengineyo mengi pia tunatoa huduma ya kupunguza makali na kutibu.
Kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa no. :
+255 654806381, +255 769413762



Napinga kwa nguvu zote kuhusu hili tangazo:HAMNA DAWA YA KUTIBU KISUKARI,ILA KISUKARI KINAWEZA KUDHIBITIWA.Kwa kutumia aidha shindano za Insulin na vidonge(kama una Diabetes 2),vyakula na mazoezi yaani kupungua uzito. Na kama unataka kuishi maisha marefu na kisukari tumia dawa za kitaalamu za hospitalin na ushauri wa Daktari.
ReplyDeleteBabu namba mbili
ReplyDeleteNAKUUNGA MKONO ASILIMIA 1000% MDAU. Mimi ninauzoefu na hili, kuna mtu may be ni huyu alimdanganya mama yangu kuwa anatibu ugonjwa huu ndani ya wiki kumi, Dozi Milion tatu. Unalipa 1.5 M halafu kila wiki unaliopa 150,000/= kila ukienda kuchukua dawa.
ReplyDeleteUkweli ni kuwa dawa hizo zinafanya kazi ya kutuliza complications za ugonjwa huo na baada ya hapo unarudi kwa kasi. Tafadhali chukua tahadhari