Shaaban Robert's burial place at Machui, near his birthplace Vibambani. Standing by the grave Mzee Kituru Musa (left) and Jafari Mhunzi (right) of Vibambani village who directed the Urithi team to the grave at Machui and assisted in clearing the overgrown grass and bushes that had covered the grave.
Home
Unlabelled
Shaaban Robert: Tanga's Forgotten Hero - THE DOYEN OF KISWAHILI LITERATURE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Achana na kaburi. Yale mema aliyotuachia ndiyo yana maana zaidi.Kwanza nasikia hilo si kaburi lake.
ReplyDeleteHutu alikuwa nguli wa kiswahili..ila nchi yetu hatuna utamaduni wa kuwaenzi watu wengine mbali na wanasiasa. Hivi kaburi la watu Kama Kinjikitile Ngwale, Mwanamalundi yanaweza kuonekana? iLife Jamie ijifunze hawa watu walikuwa na umaarufu gani mwenyekiti historia ya nchi yetu.
ReplyDeleteKwetu bado watajika, kusahau hatuwezi,
ReplyDeleteWatunzi wa kila rika, zipitia zako kazi,
MOLA pema kukuweka, pepo yake ubarizi,
Ungali unasifika, kwa kaziyo ya utunzi.
Tungo ulizoziacha, katu choka kuzienzi,
Ziimba kila kukicha, za furaha na majonzi,
Muhali kuja ziacha, vyarithi vyote vizazi,
Pengo kubwa umeacha, kwenye fani ya watunzi.
MOLA AKULAZE PEMA PEPONI - SHAABAN BIN ROBERT.