Madrassatul Noor Leicester na An Noor Community Leicester kwa  pamoja wanapenda kuwaalika Waislamu Wote pamoja na Wapenzi na marafiki zetu kutoka Leicester na miji ya karibu na mbali katika Mhadhara mkubwa wa kuutukuza Mwezi wa Ramadhan utakaofanyika Jumamosi 4 Agosti 2012 kwa utaratibu ufuatao:

MUDA:Kuanza Saa Kumi na Mbili Jioni mpaka Sala ya magharibi
PAHALA: Hashi Centre, Nedham Street, Leicester, LE2 0HA
WAHADHIRI:Sheikh Nassor Haroub kutoka East London
                                    Ustadh Omar Mrisho kutoka Slough
                                    Brother Kamil kutoka De Montfort University

Baada ya Mhadhara itafuatia Futari ya pamoja
Tafadhali tusikose kuhudhuria kwa Wakati ili kuuenzi mwezi Mtukufu wa Ramadhan
Kwa maelezo tafadhali wasiliana nasi:
Simu: 07982124581 / 07792174408

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jambo jema na kubwa hili. Mungu awawezeshe inshallah.Taqbriii...Allahu Akbar

    ReplyDelete
  2. SASA UNASEMA TAKBIIR HALAFU UNAITIKIA MWENYEWE. NI SAWA NA KUSEMA: HUJAMBO WEWE, HALAFU UNAMALIZIA MWENYEWE: AH SIJAMBO TU BWANA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...