Siku na hatimae mwezi umepita tangu ulipotutoka duniani mpendwa wetu Peter Mwenguo. Unakumbukwa na watoto wako Florah,Gilbert, Gabriel,Joseph, Howard, Mbony, Mhina, na mjukuu wako Belinda,ndugu,jamaa na marafiki wote.

Familia ya Mwenguo tunawakaribisha ndugu,jamaa,marafiki katika misa ya kumuombea mpendwa wetu Marehemu Peter Mwenguo itakayofanyika tarehe 3/8/2012 saa 12.00Asubuhi katika kanisa katoliki la MT. Maxillian Kobel Mwenge Dar es salaam, nakufuatiwa na mkesha wa kumuombea marehemu utakaofanyika kijijini kwao Mandera Bagamoyo Pwani-tarehe 3/8-kuamkia tarehe 4/8/2012.

Sisi tulimpenda sana lakini Mungu alimpenda zaidi.BWANA ALITOA BWANA ALITWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE-AMEN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...