Pichani Afisa wa TFDA, Timina Sawe, akiwaonesha wananchi waliotembelea Banda la TFDA (Hawapo pichani) sabuni aina ya Kaisiki ambayo haifai kwa matumizi ya binadamu kutokana na madhara ambayo yanaweza kujitokeza Baada ya kuitumia. Sabuni hiyo ni maarufu sana kwa kina mama.
Wadau wakipata elimu juu ya sabuni hiyo.
Afisa mahusiano wa TFDA Gaudensia Simwanza akitoa elimu kwa watoto wa Shule waliotembelea banda la TFDA katika maonesho ya nanenane mkoani DODOMA.
Wadau zaidi katika Banda la TFDA wakipata elimu ya vipodozi hususan sabuni ya Kaisiki
Wadau wakiendelea kufurika Banda la TFDA kupata elimu


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...