Ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi jijini Dar es salaam umepamba moto na sasa tayari zoezi hilo limefika maeneo ya Kimara
Kimara Bahama Mama
Maandalizi ya ujenzi yako Kimara sasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Che GuevaraAugust 07, 2012

    Sio mabasi yaendayo KASI! Ni mabasi yaendayo HARAKA!

    ReplyDelete
  2. Jamani na ajali zote hizi na madereva hawa (former Kondas), je tunahitaji barabara za kasi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...