Home
Unlabelled
wahusika wamelala usingizi wa pono.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
muhimu daladala zinasimama kupakia na kushusha inatosha mnataka nini tena wabongo? au mkoroni arudi kuwajengea tena?
ReplyDeletesubirini hayo mabasi mnayoyaita yendayo kasi yaanze kazi mtatengenezewa vituo vya kujistiri na mvua na juwa kwa sasa tiatia maji maisha yaende.
yuleee anajidai msemakweli zubedayo njoo hapa, maana kwenye ukweli unajidai sana unajua kuongea pumba na kuficha ukweli.
ReplyDeleteLahaula !!! kwani hao waenda kwa miguu wakijipanga watu wanne na kuyaondoa hayo mabati na kuyatupa kando,watapungukiwa nini ?? kama siyo uzembe tu na akili finyu.Nchi itajengwa na watanzania wenyewe ndiyo hivi ?? Tunawaambia watu warudi,eti bongo kumetulia kumbe watu wako maofisini tu kwenye viyoyozi. wake up yo ! Zebedayo msema kweli
ReplyDeleteHao ndio viongozi wetu wanaotoa huduma bora kwa kodi tunayo lipa. Serikali ipo kulinda chama tawala basi!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete