Kituo cha mabasi eneo la magomeni mikumi kikiwa kimeanguka chini siku ya tatu sasa, kikihatarisha usalama wa watembea kwa miguu maeneo hayo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. muhimu daladala zinasimama kupakia na kushusha inatosha mnataka nini tena wabongo? au mkoroni arudi kuwajengea tena?

    subirini hayo mabasi mnayoyaita yendayo kasi yaanze kazi mtatengenezewa vituo vya kujistiri na mvua na juwa kwa sasa tiatia maji maisha yaende.

    ReplyDelete
  2. yuleee anajidai msemakweli zubedayo njoo hapa, maana kwenye ukweli unajidai sana unajua kuongea pumba na kuficha ukweli.

    ReplyDelete
  3. Lahaula !!! kwani hao waenda kwa miguu wakijipanga watu wanne na kuyaondoa hayo mabati na kuyatupa kando,watapungukiwa nini ?? kama siyo uzembe tu na akili finyu.Nchi itajengwa na watanzania wenyewe ndiyo hivi ?? Tunawaambia watu warudi,eti bongo kumetulia kumbe watu wako maofisini tu kwenye viyoyozi. wake up yo ! Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  4. Hao ndio viongozi wetu wanaotoa huduma bora kwa kodi tunayo lipa. Serikali ipo kulinda chama tawala basi!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...