Waandishi wa habari wa Mikoa ya Lindi na Mtwara wakiwa katika Mafunzo ya Matumizi ya Internet katika chuo cha SAUT -MTWARA kwa waandishi wa mikoa na wilaya za Lindi na Mtwara yaliyoandaliwa na MisaTan kwa ufadhili wa mfuko wa vyombo vya habari,mawasiliano na maendeleo wa Finland yanayoendelea katika ukumbi wa chuo kikuu cha Stella Maris mkoani Mtwara.
 Mpiganaji Abdulazizi akiwa makini na somo. Anasema Licha ya kuwepo kwa njia rahisi ya upatikanaji wa habari kupitia mitandao ya internet hapa nchini waandishi wametakiwa kufuatilia habari halisia kuepukana na kuwepo na mitandao ya uongo inayopotosha jamii.
 Kinadada darasani. mratibu wa mafunzo hayo Andrew Marawiti kutoka Misa Tanzania akieleza malengo ya mafunzo hayo ni kuwajengea uwezo  wa matumizi ya internet katika upatikanaji wa habari mbalimbali na
ualisia wake ili kuepuka na mitandao inayolenga kupotosha jamii. Jumla ya  waandishi wa habari 20 kutoka mikoa ya lindi na mtwara wanapata mafunzo ya matumizi ya internet yanayotolewa  na Taasisi ya maendeleo ya Habari kusini mwa Afrika tawi la Tanzania(MISA TANZANIA)chini ya Ufadhili wa Mfuko wa vyombo vya Habari,Mawasiliano na Maendeleo Nchini  Finland(VIKES FOUNNDATION)
Darasa laendelea. Picha na Abdulaziz Video wa Globu ya Jamii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...