Mratibu wa Shindano la Redd's Miss Ilala 2012,Gadner G. Habash   akizungumza na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa   Nyumbani Lounge mchana huu wakati wa kutambulisha warembo watakaoshiriki   kwenye fainali ya Redd's Miss Ilala 2012.washindi watafanikiwa kuingia   moja kwa moja kwenye fainali ya Redd's Miss Tanzania 2012.Wengine  Pichani toka Kulia ni  Mratibu Mwenza wa Shindano hilo,Juma Mabakila,Cylivia Mashuda ambaye ni mwalimu wa warembo hao.
Baadhi ya warembo watakaoshiriki Shindano la Redd's Miss Ilala wakiwa kwenye kikao hicho.
Warembo katika picha ya Pamoja.





MCHINA
ReplyDeleteAmeathiri sana tasnia ya Urembo asilia wa mabinti wa Kitanzania.
Imejengeka imani bila ya kope bandia machoni, kucha bandia vidoleni,makalio, manyoya ya farasi kichwani binti hajaitwa mrembo!
Kasoro hayo manywele! Oops! Manywele ni consequences za bongo za wote wanaohusika na maonyesho hayo!
ReplyDelete