Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akijadiliana jambo na Rais Mstaafu wa Nigeria Jenerali Olusegun Obasanjo mjini Malabo, Equatorial Guinea ambapo wanahudhuria Mkutano wa Tisa wa Sullivan unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Bara la Afrika.
Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki (kushoto) akiagana na Rais Mstaafu wa Nigeria Jenerali Olusegun Obasanjo baada ya kukutana mjini Malabo, Equatorial Guinea wakohudhuria Mkutano wa Tisa wa Sullivan unaojadili masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo ya Bara la Afrika (Picha na Pascal Shelutete).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...