Yanga wakiwasili katika makaburi ya mauaji ya kimbari mjini kigali
Viongozi wa Yanga wakisubiri kuzuru na kuweka mashada ya maua katika makaburi ya mauaji ya kimbari mwaka 1994.
Wachezaji na viongozi wa Yanga wakipata maelezo kabla ya kuingia kutembelea nyumba ya makumbusho ya mauaji ya kimbari
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa yanga, Mama Fatma Karume akiwaongoza viongozi na wachezaji wa yanga kwenda kuweka mashada ya maua katika makaburi ya mauaji ya kimbari katika eneo la gisozi jijini kigali
Yanga mazoezini.
Picha zote na Saleh Ally
wa gazeti la Champion
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...