Home
Unlabelled
zifahamu pesa za nchi ya Ghana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
$1=CEDI2
ReplyDelete$1=TSH 1500
Then CEDI 1 = TSH 1500 ????????
CEDI 1= TSH 750 SOMA VIZURI KABLA HUJARUKIA KWENYE COMMENT!!!
ReplyDeleteWe Anoy hapo juu ulikimbia umande nini?
ReplyDelete$1 = CEDI 2
$1 = Tsh 1500
It means;
Tsh 1500 = CEDI 2
Therefore:
CEDI 1 = 1500/2
Which is 750/=
kabisaa mdau umekurupuka
ReplyDeleteKAIBADILI HIYO ANKAL MWANZO ALIANDIKA CEDI 1=1500
ReplyDeleteWadau msitishike na exchange rate, hai-reflect maisha ya mwananchi wa kawaida. Kwani Ghana pamoja na kuwa na strong currency wanatuzidi nini? si wanahangaika tu kama sisi. So to me it's just nothing!
ReplyDeleteWenzetu walifanya Currency denomination baada ya fedha yao kuwa imechupia mipaka kwenye exchange rate so msidhani ni strong currency wadau,wote tupo mulemule tu.Naimani wachumi wamenisoma vizuri.
ReplyDeleteMdau toka China.
exchange rate ndio mwanzo wa good direction..hata UK kwenye Sterling Pound watu wanateseka..inabidi tuanze kupiga hatua...
ReplyDeleteAccra siyo Ghana..Nenda vijijini uone waghana walivyochoka.Jamani sisi tuna Matatizo yetu lakini,I swear,Tanzania inazipita nchi kibao za Kiafrika kimaendeleo pamoja na Fedha yetu kutokuwa na Nguvu dhidi ya dola.Kuna nchi zimejengwa na wazungu 90%.Sisi tunajikongoja wenyewe......
ReplyDeleteModou
Asante Ankal kwa kujibu swali langu japo umechelewa nadhani ilikuwa ni mambo ya utafiti kidogo.
ReplyDeleteUnaesema Ghana ni kama sie si mfuatiliaji wa mambo. Ghana imeshaingia kwenye middle income countries kama Botswana. Kalagabao.
ReplyDeleteIla nakubali exchange rate haisemi kila kitu ingekuwa inasema basi Japan ambao Yen 1 ni sh 10 ya Tz wangekuwa masikini zaidi ya Kenya.
Bongo Tambarale!
ReplyDeleteLa muhimu katika mabadilishano ya Fedha tusiombe kuja kufikia walipowahi kufika Zimbabwe kipindi cha Vikwazo vya Uchumi na Fedha
1US$ =1,000,000,000,000 Zimbabwe$ !
Bank zipi tanzania zinabadilisha pesa ya ghana
ReplyDelete